Header Ads

RC RUVUMA AWAGUSA WALEMAVU :

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akimsikiliza Mwananchi Mkazi wa Kijiji Cha Mchoteka Wilaya ya Tunduru ambaye ni mlemavu wa Viungo.

RC Mndeme ameahidi Kumpatia Baiskeli mpya ambayo itamsaidia kutatua kero ya usafiri ambayo anayo.

No comments:

Powered by Blogger.