Jamaa aliyevunja rekodi ya kutoa damu kusaidia watoto duniani
FAHAMU: James Harrison akifahamika kama Man with a golden arm ametoa damu zaidi ya mara elfu moja ili kuokoa maisha ya watoto zaidi ya milioni mbili ambao wazazi wao wameshindwa kujifungua kutokana na matatizo ya Rhesus.
Harrison akiwa na umri wa miaka miaka 14 alifanyiwa upasuaji wa kifua ambapo alihitaji lita 13 za damu ambapo kwa wakati huo alikaa hospitali kwa miezi mitatu na akaweka ndahiri kuwa akifikisha umri wa miaka 18 ataanza kutoa kuchangia damu kutambua kuwa damu iliokoa maisha yake.
James alizaliwa Disemba 27 mwaka 1936 na alianza kuchangia damu mwaka 1954 akiwa na umri wa wa miaka 18 ambao ulimruhusu kuanza kuchangia damu.

No comments: