Header Ads

Lulu amkosha Ray C asema ‘mpaka machozi yamenilenga’

Star wa Bongo flevan Rehema Chalamila maarufu kama RAY C leo anazimiliki headlines kufuatia ujumbe wake alioandika kwenye account yake ya Instagram ambayo ameambatanisha na video clip ikimuonesha mrembo Elizabeth Michael Maarufu kama LULU akiwa Kaniasani ambapo RAY C ameandika meneno yasemayo

"LULU Nimeangalia hii video zaid ya mara kumi nahisi!mpaka machozi yamenilenga kwakweli!Sikumbuki lini nimeingia kanisani!Najiona mzima sasa na nasahau kuwa Mungu ni mkali! Nimejifunza kitu kutoka kwako my dear!Kikubwa sana You Inspire Me


Kwa mastori makali kama haya usiache ku-Subscribe YOUTUBE yetu ya Uhondo TV lakini pia Download App yetu ya Uhondo Habari ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

No comments:

Powered by Blogger.