Haya ndio maneno ya Tundu Lissu akiwa bado kitandani
Ikiwa imepita miezi kumi tangu Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu apigwe risasi akiwa nyumbani kwake Dodoma na watu wasiojulikana, akiwa bado yupo katika matibabu nchini Ubelgiji amefanyiwa Operation kadhaa na kupitia ukurasa wake wa Instagram Lissu alitumia nafasi hiyo kuwashukuru Watanzania wote na kusema
“Kazi ya jana ilikwisha salama though ilikuwa marathon nyingine ya masaa matano. Sasa nafikiri ninaweza kusema hii itakuwa operesheni ya mwisho. Ninawashukuru kwa sala zenu na misaada ya hali na mali.” Mungu awabariki.

No comments: