Nape ampa makavu Mange Kimambi “WATAPATA TABU SANA”
Baada ya mastori ya town kusambaa kwamba Mbunge wa Mtama
ambaye pia alishawahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape
Nnauye kuandikiwa barua ya kusimamishwa uanachama wa CCM, Kupitia ukurasa wake
wa Twitter Nape amezijibu tuhuma hizo leo July 5, 2018 na kusema
“Kwa UZUSHI huu WATAPATA TABU SANA wanuka maziwa, ndio shida
ya kudandia treni kwa mbele, unawakuta wenyeji unakuwa Mwenyezi kuliko....
Hii ni Uhondo UPDATES Kwa mastori makali kama haya endelea kukaa karibu na chaneli yetu ya UHONDO TV pamoja na Uhondo Habari kwenye mitandao ya kijamii. Na usisahau kudownload Application yetu ya UHONDO HABARI kupitia PLAY STORE kwenye simu yako.

No comments: