Casto afunguka maneno makali “Acha Dunia inione mjinga”
Ikiwa simepita siku kadhaa tangu Muna Love kuita Waandishi wa Habari nyumbani kwake na kumtaja Casto Dickson kuwa ndio baba mzazi wa marehemu Patrick, watu wengi wamekuwa wakisubiri kusikia kauli yoyote ya Casto ambaye tangu kufariki kwa mtoto Patrick hajawai zungumza lolote wala kuandika chochote kwenye mtandao wa kijamii, sasa leo Casto kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost ujumbe ukiambatana na picha ya mrembo Tunda na kuandika
“Acha Dunia inione mi KOLO/MJINGA Ila ur my Wife to be Happy Birthday my T.. God Bless “
Kwa mastori makali kama haya usiache Ku-Subscribe YOUTUBE yetu ya Uhondo TV lakini pia Download App yetu ya Uhondo Habari ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya.

No comments: