Jamaaa kaenda kwa mguu kazini Bosi akamzawadia gari
Mmiliki wa Kampuni moja nchini Marekani amempatia mfanyakazi wake gari mpya baada ya kutembea kwa miguu umbali wa kilomita 32, ambaye alitembea umbali huo usiku mzima akienda kazini.
Baada ya gari yake kuharibika, Walter Carr alitembea kwa muda mrefu akipita viunga vya Birmingham, Alabama , mpaka mahali palipo ajira yake mpya.
Afisa wa Polisi alizungumza na Carr akiwa njiani , alivutiwa na moyo aliokuwa nao akamualika kupata kifungua kinywa.
Carr alimwagiwa sifa kedekede mtandaoni tangu habari yake ilipotolewa mitandaoni Jenny Lamey, mteja wa kampuni hiyo, aliandika kwenye ukurasa wa Facebook kuwa yeye na mumewe waliamka mapemaIjumaa iliyopita kujiandaa tukiwasubiri watu wa Kampuni ya removal iliyokuwa waliokuwa wanawatarajia kuwasili saa mbili kamili.
Ilipotimia saa kumi na mbili na nusu kengele ya mlangoni iliita na bi Lamey alikutana na Bwana Carr ambaye aliongozana na afisa wa polisi kutoka kikosi cha Pelham
''Afisa wa polisi alisema kuwa walikutana njiani asubuhi ile wakanywa chai pamoja, walipofahamu historia yake wakaamua kumleta Walter nyumbani''.
Kwa mastori makali kama haya usiache ku-Subscribe YOUTUBE yetu ya Uhondo TV lakini pia Download App yetu ya Uhondo Habari ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari kubwa.

No comments: