Header Ads

“Wanaokucheka leo watataka kua marafiki zako” –MC PILIPILI

Inawezekana wewe ni miongoni mwa watu ambao hivi sasa unalia na kusikitikia ugumu wa maisha yako uliyo nayo na hujui ufanye nini ili kujikwamua na ukata huo.

Basi leo msomaji wa UHONDO HABARI nakukutanisha na MC PILIPILI kwenye darasa huru, ambaye ameamua kushare na sisi kipande cha siri ndogo ya mafanikio yake.

MC PILIPILI kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAMA ameandika ujumbe uliosomeka… “Uamuzi Uliobadilisha Maisha Yangu Mwaka 2013 .

Katika Aya Maisha Utajiri Unaweza Ku Share Na Wengine Ila Umaskini Ni Wako Peke Yako Uamuzi Wako Unakusubiri Wewe Uamuzi Mgumu Ambao Sio Umeombwa Kufanya Na Wengine Au Umefanya Kama Wengine Walivyo Ila Umeangalia Katika Maisha Ya Wengi Na Ukafanya Kama Unavyoona Sawa Wewe

Ukitaka Kuoa ....Fanya Maamuzi Magumu

Ukitaka Kujenga Nyumba..Fanya Maamuzi Magumu

Ukitaka Kufanikiwa Fanya Maamuzi Magumu .

Unaweza Usi Pate Support Ya Wengi Na Labda Wengine Kukukatisha Tamaa Ila Utapofanikiwa Ata Wanaokucheka Leo Watataka Kua Marafiki Zako Au Uwataje Katika Speech Zako

Jichunguze Na Fanya Maamuzi Magumu Leo...Future Yako Inakutegemea Wewe!!!”


Yes…. Naamini hadi hapa kuna kitu kizuri umekipata na kimekuongezea hamasa ya kusimama na kupambana zaidi na zaidi.

Kwa mastori makali kama haya usiache ku-Subscribe YOUTUBE yetu ya Uhondo TV lakini pia Download App yetu ya Uhondo Habari ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

No comments:

Powered by Blogger.