BREAKING NEWS: Rais Magufuli afiwa na ndugu yake wa damu
Ikiwa imepita siku moja tangu Rais John Pombe Magufuli atembelee katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza kwa lengo la kuwajulia hali wagonjwa akiwemo dada yake Monica Magufuli aliyekuwa amelazwa kwa muda mrefu akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo.
Habari kutoka kwa Afisa habari wa IKULU Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa taarifa kwa UMMA leo August 19, 2018 kwamba Monica Magufuli amefariki dunia. Ambapo ujembe ulisomeka
“NASIKITIKA kuwajulisha kuwa Dada wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Monica Joseph Magufuli amefariki dunia asubuhi leo tarehe 19 Agosti, 2018 katika hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu. Natoa pole kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Familia ya Mzee Joseph Magufuli, Ndugu, Jamaa na wote walioguswa na msiba huu. Raha ya milele umpe e Bwana na mwanga wa milele umuangazie, Marehemu Monica Jospeh Magufuli asterehe kwa amani, Amina”
Uhondo TV na Uhondo Habari tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea hivyo unachotakiwa ni kukaa karibu yetu na usiache Ku-Subscribe YOUTUBE CHANEL yetu ya UHONDO TV lakini pia Download App yetu ya UHONDO HABARI ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

Rais Magufuli alivyoingia ghafla kwenye ndege ya abiria

No comments: