Tukio la Mgonjwa aliyepandikizwa FIGO kwa mara ya pili Dodoma
Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) imefanikiwa kwa mara nyingine tena kufanya operation ya kupandikizaji figo kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutokea nchini Japani ambapo hii inakuwa ni mara ya pili tangu kuanzishwa kwake.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dr Alphonce Chandika amesema kuwa chanzo kikubwa cha ongezeko la maradhi hayo yasiyoambukizwa ni kutokana na ongezeko la watu kubadili mtindo wa maisha ikiwemo kutofanya mazoezi ya mara kwa mara.
Maamuzi magumu aliyoyafanya Waziri Kangi Lugola, Polisi wahusika

No comments: