Header Ads

Habari nyingine Mpya kutoka kwa Nicki Minaj

Nicki Minaj atangaza rasmi kuiachia album yake ya QUEEN leo August 10. Nicki ametoa taarifa hizo kwenye uzinduzi wa kipindi chake cha redio Queen Radio  ambacho kimeanza kuruka rasmi jana kupitia Beats 1 ya Apple Music.

Album hiyo ilipangwa kutoka (August 10) lakini Nicki Minaj aliamua kuisogeza mbele hadi August 17 kwa madai ya kwamba kuna kazi anazikamilisha ikiwemo moja aliyofanya na rapper mkubwa duniani.

Lakini asubuhi ya leo Minaj ameamua kutupa Queen ambayo imekuwa ikipigwa tarehe kila kukicha. Muda wowote kuanzia sasa album hiyo itakuwa inapatikana sokoni.


Kwa mastori makali kama haya usiache Ku-Subscribe YOUTUBE CHANEL yetu ya UHONDO TV lakini pia Download App yetu ya UHONDO HABARI ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

No comments:

Powered by Blogger.