Header Ads

Rich Mavoko afunguka kwa mara ya kwanza tangu kuondoka WCB

Ebwana eeeh! Miongoni mwa mastori kutokea kwenye mitandao ya kijamii leo ni pamoja na post iliyoandikwa na Star kutokea kiwanda cha Bongofleva anayefahamika kwa jina la Rich Mavoko, Ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha ikiambatana na maneno yafuatayo>>>

"Nimejifunza vingi ila la muhim  kabisa  nimeona Umuhim wa kukaa karibu na  walezi wetu mana changamoto ni nyingi na  kuna mengi ila yote mnaweza yajua kama tukiwa karibu nanyi leo mmenipa maana ya neno mama ni mama ata kama ni kilema, ata iweje nyinyi ndo walezi wasanaa Yetu Niseme Tu Asante BASATA"


Ikumbukwe kwamba miongoni mwa mastori ni kwamba Rich Mavoko hayupo tena kwenye Laber ya CWB inayoongozwa na msanii Diamond Platnumz, sasa maswali yanakuja je, Rich Mavoko katika hili anataka kuwafungulia mashitaka WCB kutokana kuwa na mkataba mbovu ndani ya kampuni hiyo?


Majibu yatakujia hapahapa, Kwa mastori makali kama haya usiache Ku-Subscribe YOUTUBE CHANEL yetu ya UHONDO TV lakini pia Download App yetu ya UHONDO HABARI ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

No comments:

Powered by Blogger.