Maneno tata ya Waziri January Makamba kwa wateule wa JPM
Miongoni mwa habari kubwa mitandaoni leo August 6, 2018 ni pamoja na ujumbe ulioandikwa na Waziri wa Muungano na Mazingira January Makamba kupitia ukurasa wake wa Twitter
Ambapo amesema >>>
“Mdogo wangu uliyepata nafasi ya uongozi, jitahidi kukataa: kufunguliwa mlango wa gari, kubebewa mfuko au sahani ya chakula kwenye buffet, kulazimisha kukaa meza kuu au kutambuliwa kwenye shughuli za watu. Wenyeji wanaweza ku-insist lakini resist. Waweza kushindwa lakini jitahidi.”
Ujumbe huu umewapa kigugumizi baadhi ya watu kwa kushindwa kuelewa Makamba amemlenga nani kumfikishia ujumbe huu ikizingatiwa kwamba ni siku kadhaa tu tangu Rais John Magufuli kufanya uteuzi mdogo wa Wakuu wa mikoa, Wilaya pamoja na makatibu wakuu.
Kwa mastori makali kama haya usiache Ku-Subscribe YOUTUBE CHANEL yetu ya UHONDO TV lakini pia Download App yetu ya UHONDO HABARI ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

No comments: