Waziri Kigwangalla akiwa Hospitali ameandika “Sintomuona tena”
Ikiwa zimepita siku tatu tangu Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla kupata ajali ya gari akitokea mkani Arusha kuelekea Dodoma ambapo katika ajali hiyo iliyo mtu mmoja amabye ni Afisa habari wa Wizara hiyo Hamza Temba alipoteza maisha na wengine watano akiwemo Kigwangalla mwenyewe kujeruhiwa.
Leo kupitia account ya Instagram Waziri Kigwangalla kwa mara ya kwanza ameandika ujumbe uliosomeka>>> "Sijui hata Kwa nini usiku huu nimegusa simu? (Akaweka gi imoji vya kulia) Only to look at my phone and come across chats and pics za ziara yetu ya Pori kwa pori and rise to the reality that mdogo wangu, bwashee wangu, this hard working, smart, handsome and very hopeful young man sintomuona tena na kumtania.
What more can I say?! Alhamdulillah. Qaalu inna lillah wainna ilayhir rajiuun"

No comments: