Sababu za Wolper kutaka kuokoka, yaliyomkuta je?
STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper hivi karibuni ametangaza kuokoka na kusema kwamba kwa sasa anampenda Yesu na anamtumikia huku akieleza pia kilichomkimbiza Bongo na kuweka makazi nchini Kenya.
Akipiga stori na chombo kimoja cha habari, Wolper alisema ameamua kuokoka kwa sababu anatambua mbali na maisha ya duniani kuna maisha ya mbinguni, kwa hiyo ni vyema akaandaa maisha hayo pia na siyo kujisahau kana kwamba hataondoka duniani.
“Kiukweli kwa sasa nimeamua kuokoka na kumrudia Mungu, nina uhakika kwa kufanya kwangu hivi niko kwenye mikono salama na mambo yangu yataninyookea zaidi kuhusu uvaaji wangu siyo tatizo kwa sababu siku hizi tunaokoka kisasa,” alisema Wolper.
Akizungumzia kilichomkimbiza Bongo na kujichimbia Kenya, Wolper alisema ni masomo kwani kwa sasa anasomea masuala ya ngozi na urembo.
Kwa mastori makali kama haya usiache Ku-Subscribe YOUTUBE CHANEL yetu ya UHONDO TV lakini pia Download App yetu ya UHONDO HABARI ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

No comments: