Header Ads

Kilichotokea kwa Mwalimu aliyemchapa mwanafunzi hadi kufariki

Headline kutokea mkoani Kagera ni kwamba Mwalimu anayetuhumiwa kumpiga kikatili Mwanafunzi hadi kufariki kwa tuhuma za kuiba mkoba wa Mwalimu mwingine, amekamatwa na Jeshi la Polisi.

Mwalimu Respicius Patrick alichukua jukumu la kumuadhibu Mwanafunzi Sperius Eradius(13) baada ya kuambiwa ameiba mkoba wa Mwalimu Herieth Gerald.

Kamanda wa Polisi mkoani humo amepata wakati mgumu alipofika shuleni hapo baada ya kupokewa kwa nyimbo za kudai haki kutoka kwa Wanafunzi Aidha, mkoba huo baadaye uliletwa na dereva Bodaboda na kueleza kuwa Mwalimu Herieth aliusahau baada ya kushuka kwenye pikipiki.

 Kwa mastori makali kama haya usiache Ku-Subscribe YOUTUBE CHANEL yetu ya UHONDO TV lakini pia Download App yetu ya UHONDO HABARI ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

  BREAKING: CHADEMA wapata pigo lingine kubwa

No comments:

Powered by Blogger.