Header Ads

“WATAPATA TABU SANA” - HUMPHREY POLEPOLE

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema kuwa viongozi wa vyama vya upinzani nchini watapata tabu sana kwakuwa wanashindwa kusimama katika itikadi zao na kuhitaji huruma kwa wananchi

No comments:

Powered by Blogger.