Header Ads

Ajali mbaya ya magari imeua tena Mbeya

Habari kubwa kutokea mkoani Mbeya ni pamoja na tukio la ajali iliyotokea katika mteremko mkali wa Iwaranje maeneno ya Igawilo ambayo imehusisha malori matatu ya mafuta, Hiace ya abiria na gari moja ya mizigo.

Katika ajali hiyo inasadikika kwamba watu watano wamepoteza maisha huku kadhaa wakijeruhiwa Kamanda wa Polisi mkoa huo Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo imeelezwa kuwa chanzo ni kufeli breki kwa gari mojawapo. BREAKING: Sababu za Rais Magufuli kumtumbua kigogo wa TAKUKURU

No comments:

Powered by Blogger.