Header Ads

Tukio kubwa lililofanywa na Polisi Dar es salaam

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kupitia kikosi cha usalama barabarani kimeweza kukusanya Tsh. Bilion 2.6 katika kipindi cha mwezi mmoja.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa amesema kuwa fedha hizo zimekusanywa kuanzia Agosti 1 hadi Agosti 31 mwaka huu Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda Mambosasa amesema jumla ya makosa yaliyobainika na kulipiwa faini ni 76,401 kwa kipindi hicho cha mwezi mmoja 

Idadi ya Magari yaliyokamatwa ni 57,716 na pikipiki 1,872, kati ya magari hayo ya kubeba abiria ni 26,475, magari binafsi na ya kubeba mizigo ni 31,241 Aidha, Waendesha pikipiki waliofikishwa Mahakamani kwa makosa ya kutovaa kofia na kubeba abiria zaidi ya mmoja ni 83 Halima Mdee asababisha Bunge kuhairishwa, Wabunge waingia kwenye lawama

No comments:

Powered by Blogger.