Vituko vilivyotokea wakati wa kupiga mnada makontena ya Makonda
September 1, 2018 umefanyika mnada wa makontena ya Makonda ambapo Mkurugenzi wa Yono Auction Mart Scolastika Kevala amesema kuwa "Mpaka sasa tayari tumefanya mnada wa makontena yote 20 lakini hayajapata mteja ingawa tumefanikiwa kuuza bidhaa 10 zilizokuwemo kwenye makontena hayo mnada wa makontena utaendelea jumamosi ijayo”
Unaweza kutazama video hapa chini….
Unaweza kutazama video hapa chini….

No comments: