Zawadi nono kwa atayefanikisha kukamatwa kwa mtu huyu
TAKUKURU imemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope kujisalimisha katika ofisi zake au Kituo cha Polisi
Mbali na Hans Pope, TAKUKURU imemtaka pia Frankline Lauwo kujisalimisha, huku wote wakitakiwa kujibu tuhuma zinazowakabili juu ya mashtaka ya kutoa taarifa za uongo TRA
Inadaiwa walitoa taarifa za uongo juu ya ununuzi wa nyasi bandia za uwanja wa Simba.
Katika kesi inayowahusisha Evance Aveva na Geofrey Nyange maarufu 'Kaburu' Aidha, TAKUKURU imetangaza zawadi nono kwa Mwananchi yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa Watuhumiwa hao baada ya kutafutwa kwa njia za kawaida bila mafanikio
Kituko alichokifanya Halima Mdee Bungeni

No comments: