Header Ads

Diva wa Clouds aingilia kati msiba wa Patrick “Watachomwa moto”



Mrembo kutokea kituo cha utangazaji CLOUDS FM Diva the boss ameandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa Twitter uliosomeka “la waandishi wa Habari sometimes sijui hawana Mioyo...??? tuwe na utu jamani hawa views, likes na comments zitawapeleka Motoni, wakati wa misiba muwe na Kumjua Mungu sio tu unafunga safari kumuhoji mtu mtoto wa nani? sijui hivi, embu kuweni na Ubinaadamu “
Hii ikiwa ni baada ya kifo cha mtoto wa mwanadada Muna Love anayeitwa Patrick aliyefariki nchini Kenya akiwa kwenye matibabu.

Kwa mastori makali kama haya endelea kukaa karibu na chaneli yetu ya UHONDO TV kwenye YOUTUBE pamoja na Uhondo Habari kwenye mitandao ya kijamii.

No comments:

Powered by Blogger.