Header Ads

Muna Love athibitisha baba wa mtoto wake Patrick



July 3 2018 story ambayo imeshika vichwa vya habari kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu kifo cha mtoto wa muigizaji Muna love ambaye mtoto wake ambaye alikuwa akimuuguza nchini Kenya alifariki jana july 3 2018.
sasa utata uliojitokeza ni kuhusu  baba wa mtoto huyo ni nani? hii ni baada tu ya mtu mmoja aiywaye Peter kujitokeza na kudai mtoto ni wake huku akisema yeye ataweka msiba nyumbani mwananyamala.
Hii imeleta utata kwani wengi walikuw wakifahamu kuwa mtoto ni wa Mtangazaji Caston Dickson.
Sasa Mama wa mtoto huyo kupitia account yake ya Instagram akimaliza utata huo ambapo ameyaandika haya

AMAN JAMAN 😭😭😭😭😭😭NAOMBA NIMZIKE MTOTO WANGU 😭😭😭😭VAENI VIATU VYANGU KUNA SIRI KUMBWA AMJAWAH KUIJUA NAWAOMBA NIMZIKE MTOTO WANGU ALAFU NDO MNITUKANE MIMI 😭😭😭😭😭😭NAUMIA JAMAN NAMUHESHIMU PETER SIWEZ KUWEKA KITU APA MANA NTAMWAIBISHA....SIWEZI KUMSEMA CASTO MANA YE ANAJUA WAPI ALIKOSEA NAWAOMBENI JAMAN NAOMBA NATAKA KUMZIKA MWANANGU MIAKA 2 NAHANGAIKA NA PAT WANGU 😭😭😭😭😭😭😭😭 NIMALIZE KUMZIKA NIONGEE NYIWE WANAWAKE MNAONIHUMUKU VAENI VIATU VYA SIRI NIZIZOHIFADHI ...BABAWA MTOTO NI CASTO INATOSHA 😭😭😭😭😭😭😭😭NITUKANENI MIMI NIFE ILA PATI NI KIONGOZI ALIENIONGOZA NIONE MAISHA MAPYA NA NIMJUE MUNGU ...NITALIA MILELE MIMI PATI WANGU😭😭😭😭😭😭😭😭LEO WANAKUGOMBANIA MWAANANGU NATAMANI URUDI MARA MOJA😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭...
MWANANGU NTALETA IJUMAA 
NA NTAMZIKA JUMAMOSI😭😭😭😭😭MSIBA UKO KWANGU MBEZI BEACH.
******AMEANDIKA HAYO 
@munalove100KATIKA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM BAADA YA KUWEPO SINTO FAHAMU KUHUSU NANI BABA WA MTOTO PATRICK.



No comments:

Powered by Blogger.