Hii ni kutokea Buguruni, Dar es salaam amabapo Pamoja
na watu kuwekewa Daraja katika kando za barabara ili kupunguza ajali na juhudi
za kuziba ili watu wapite darajani wasipate ajali, bado kuna watu ambao
hawataki kutumia daraja hilo kama unavyoweza kujionea katika picha hii
No comments: