Header Ads

Rais Magufuli alivyoguswa na huyu dada mlemavu



Rais Dkt. John Magufuli amemchangia kiasi cha shilingi milioni 10 msichana Wakonta Kapunda kutoka Tanzania anayeandika kwa kutumia ulimi wake ambaye pia ni miongoni mwa washindi washindano la kuandika wazo la biashara lililoandaliwa na Dkt. Reginald Mengi...Comment neno la ***HONGERA kumpongeza Wakonta kwa ushindi huo wa kuandika kwani wapi vijana wengi wenye mikono inayofanya kazi wameshindwa Hata kushiriki.

No comments:

Powered by Blogger.