Header Ads

Penzi la Nay wa Mitego na Nini limekufa?


Msanii Nini ambaye mastori mengi ya town yalikuwa yakusema anatoka kimapenzi na Star wa Bongo fleva Nay wa mitego ameweka wazi kuwa penzi lake na msanii huyo hivi sasa limefika ukingoni. Muimbaji huyo amesema ameamua kuachana na Nay wa Mitego kutokana na kumchukulia poa na kuwa na mahusiano na wanawake wengine.  "Ni kweli nimeachana na Nay na niweke hili sawa sijawahi kuishi nyumba moja na Nay na hata hiyo ishu ya wazazi wangu kwenda kwa Nay sio kweli" amesema. "Unajua kwenye mahusiano kuna mambo mengi sana na mtu kama mwanaume unaweza ukampenda, ukamuheshimu akawa anakuchukulia poa, anakufanyia drama anakuletea wanawake" Nini ameiambia Clouds TV alipokuwa akifanyiwa mahojiano

No comments:

Powered by Blogger.