Header Ads

Steve Nyerere kaibuka na mengine tena kuhusu Baba wa mtoto Patrick


Hatimaye Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere ameibuka na kufunguka kuwa anamuomba Muna kwa sasa aachane na mitandao ya kijamii na a-focus zaidi na namna atakavyomzika mtoto wake Patrick.

 Steve Nyerere akizungumzia kuhusu baba halali wa mtoto Patrick, amesema kuwa yeye anamfahamu Peter mume wa ndoa wa Muna Love toka zamani na hamfahamu kabisa Casto Dickson.


Pia amemshauri Muna Love kwa sasa aachane na mambo ya mitandao ya kijamii ikibidi aifunge kabisa simu yake kwani na afikirie namna ya kumpumzisha mtoto wao Patrick kwenye nyumba ya milele.


Kwa mastori makali kama haya usisahau kudownload App yetu ya UHONDO HABARI kupitia PLAY STORE kwenye simu yako na Subscribe UHONDO TV kwenye YOUTUBE

No comments:

Powered by Blogger.