Header Ads

BREAKING NEWS: Vigogo wawili watiwa mbaroni Hai

Mkuu mpya wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudeley,Jensen Natal na mwanasheria wa kampuni hiyo,Edward Mroso kwa tuhuma za kukosesha kodi serikali ya zaidi ya sh Mil 700.

No comments:

Powered by Blogger.