Wanaokumbatia maiti hatarini kupata ugonjwa wa Ebola
Kutokana na ugonjwa wa Ebola kuibuka nchini Congo kwa mara ya kumi sasa Watanzania wametakiwa kuacha utamaduni wa kukumbatia Na kubusu maiti ili kuepuka kupata maambukizi ya ugonjwa wa Ebola.
Tahadhari hiyo imetolewa Na Mkurugenzi wa huduma za kinga Wizara ya Afya Dkt Leonad Subi jijini Dodoma ambapo amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi Tisa zilizopo hatarini kupata ugonjwa huo.
Amesema kuwa ni vyama watanzania wakaacha utamaduni wa kubusu Na kukumbatia maiti pamoja Na kula Nyama za wanyamapori wakiwemo sokwe.
Amesema kwa sasa wageni wote wanaoingia nchini wanafuatiliwa AFYA zao huku akiwataka watanzania wanaosafiri kwenda nje ya nchi kuchukua tahadhari ili kuepuka kupata ugonjwa huko.

No comments: