Header Ads

Diamond amtumia ujumbe mzito mtoto wa Hamisa Mobeto

August 8, 2018 Star kutokea Bongoflevan Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameanza kwa kuzitengeneza headlines za mitandaoni baada ya kumpost mtoto wake Daylan ambaye amezaa na mrembo Hamisa Mobeto na kuambatanisha ujumbe huu.

"A Very Happy Birthday to the Next Platnumz...My Kitinda Mimba, Mswahili Mwenzangu, Maskini Mwenzangu...Mnyonge Mwenzangu...Mengi Uloyapitia Ukiwa mdogo, usiyejua hili wala lile yamenifanya nikupende sana na kuhakikisha nakulinda na kukutunza kwa hali yoyote ntayojaaliwa...Insha Allah Mwenyez Mungu akukuze vyema, akupe Akilu, Afya, Furaha na akubariki, Ukikua uwe Mwanamziki Kama mie baba ako, Uzidi kupendwa na ukifanikiwa uwainue Maskini wenzetu zaidi Mtaani....Happy Birthday My Handsome/ Young King / Young Lion / Young Simba / Young Dangote Daylan"

Ikumbukwe kwamba Diamond alishawahi kuingia kwenye baadhi ya migogoro na mzazi mwenzie ambaye ni Hamisa Mobeto kwa madai kwamba hatoi matunzo kwa mtoto huyo na zaidi hakuwahi kuwa tayari kukubali kwamba Daylan ni mtoto wake.

No comments:

Powered by Blogger.