Maamuzi ya Paul Makonda kwa wanaokimbia JOGGING
Makonda amevipatia mtaji wa kuviinua kiuchumi vikundi vya jogging.
Kwenye bonanza la vilabu vya Jogging Dar es salaam Makonda ameanza kwa kukabidhi kitita cha zawadi ya shilingi milioni 10 kwa washindi wa makundi mbalimbali pamoja na kuahidi kukabidhi shilingi Million Saba kwa chama cha Jogging Temeke ili waweze kuwa na SACOS yao endapo atajiridhisha kuwa wamekidhi vigezo.
Amesema anachokitaka kwa sasa ni kuona *vilabu vya Jogging* vinashiriki shughuli za uzalishaji na wasipate muda wa kushiriki matukio ya uhalifu kama uporaji, ubakaji na matumizi ya dawa za kulevya.
RC Makonda amesema kila baada ya miezi miwili yatakuwa yakifanyika mabonanza makubwa ya Jogging hivyo amezitaka kila wilaya kujiandaa.
Kwa mastori makali kama haya usiache Ku-Subscribe YOUTUBE CHANEL yetu ya UHONDO TV lakini pia Download App yetu ya UHONDO HABARI ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

No comments: