PIGO LINGINE WALILOPATA CHADEMA
Headiline kutokea Mkoani Rukwa ni kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemfuta uanachama na kumvua udiwani, Dickson Mwanandenje aliyekuwa diwani wa kata ya Majengo wilaya Sumbawanga.
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani huo, Shadrack Malila amesema sababu ya kumfuta uanachama diwani huyo, ni usaliti ndani ya chama.
Amesema mara ya mwisho alipanda jukwaani katika mkutano wa hadhara wa mbunge wa Sumbawanga mjini, Aeshi Hilaly na kumsifia mbunge huyo na chama chake (CCM)
Amesema kuwa kupitia taarifa za kiintelejensia wamebaini alikuwa kwenye mipango ya kujiunga na CCM kwa dau la zaidi ya Tsh. Milioni 20 na walikuwa kwenye mazungumzo ya mwisho
Aidha, Mwanandenje amesema kushiriki mkutano wa Mbunge sio dhambi ya kufanya avuliwe uanachama na hizo za kuwa katika mchakato wa kujiunga na CCM zimejaa ukakasi tu.
Kwa mastori makali kama haya usiache Ku-Subscribe YOUTUBE CHANEL yetu ya UHONDO TV lakini pia Download App yetu ya UHONDO HABARI ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

No comments: