Uteuzi mpya alioufanya Rais Magufuli leo
Habari kutokea Ikulu Dar es salaam leo August 13, 2018 ni pamoja na hii ya Rais Magufuli amemteua, Mussa Elias Mnyeti kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Malinyi
Ndugu, James Kasusura ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya - Maulid Madeni atakuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha
Lusubilo Mwakabibi ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Temeke - Rais amemteua Beatrice Kwai kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ubungo - Mwilabu Nyabusu ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kigamboni
Kwa mastori makali kama haya usiache Ku-Subscribe YOUTUBE CHANEL yetu ya UHONDO TV lakini pia Download App yetu ya UHONDO HABARI ili uwe wa kwanza kila tunapoweka habari mpya kila wakati.

No comments: