Sababu za Julius Mtatiro kuikimbia CUF na kuhamia CCM
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro ametangaza kuachana na chama hicho leo Agosti 11, na kusema kuwa anatarajia kujiunga na CCM
Ameeleza kuwa ameanza kwa kuzungumza na kutangaza adhima yake ambayo ameitafakari kwa muda mrefu kabla ya kuwataarifu viongozi wa CCM aliowaomba wampokee
Amesema "Siendi CCM kutafuta nafasi na Ukuu, uamuzi niliofanya ni uamuzi wa kutafuta jukwaa sahihi la kufanya siasa katika kipindi cha mbele cha maisha yangu"
Aidha, ameongeza kuwa “Nawaambia Watanzania kwamba kuanzia leo nitaanza kufanya siasa za maendeleo ili kumsaidia Rais John Pombe Magufuli"

No comments: