Tukio la jamaa aliyekamatwa na mayai ya Mbuni
Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia mkazi wa kijiji cha Ngoley baada ya kukutwa na mayai ya mbuni.
Mkazi huyo, Bura Mayomba(55) alikamatwa Septemba 3 mwaka huu akiwa na Mayai 9 ya Mbuni ambayo ni nyara za Serikali.
Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Augustino Senga amesema Mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake akiwa ameficha mayai hayo kwenye dumu lenye ujazo wa lita 20. Aidha, Mtuhumiwa huyo alikuwa anamiliki mayai hayo bila kibali kutoka kwa Serikali au Mkurugenzi wa Wanyama Pori.
Tukio lililosababisha Wabunge kulumbana Bungeni

No comments: