Mtuhumiwa wa mauaji alawitiwa Gerezani
Unaambiwa kwamba Mtuhumiwa wa kwanza Dedrick William
aliyeshtakiwa kwa mauaji ya Marehemu Xxxtentacion aripotiwa kulawitiwa akiwa gereza
la Broward
County na
taarifa za harakaharaka zinahusisha kundi la Kodak Black kuhusika na
ishu hiyo .
Inaripotiwa kuwa Derick William alikuwa akioga ndipo
watu wakamvamia na kumfanyia kitendo hicho na wengine kudai kuwa kutokana na
ukaribu aliokuwa nao Marehemu Xxxtentacion na kundi la Kodak Black huenda wakahusika
mojamoja na tukio hilo.
Kuna uthubitisho wa message zinazodaiwa kuwa zilitumwa na
mmoja wa askari wa gereza hilo la Broward County na kitendo hicho
kusemekana kilipangwa kufanyika siku ya kuuaga mwili wa Marehemu Xxxtentacion.
Endelea kukaa karibu na Uhondo Habari ili uwe wa kwanza
kujipatia updates zote kali za duniani,
No comments: